AS Vita yathibitisha haitakuja August 04

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2019
AS Vita yathibitisha haitakuja August 04

AS Vita ya DR Congo imethibitisha sababu za kutokuja nchini kuumana na Yanga katika tamasha la Wiki ya Mwananchi iliyokuwa ifanyike Agosti 4, 2019 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Kocha msaidizi wa AS Vita, Raul Shungu amesema ni kweli walikuwa waje Tanzania kucheza na Yanga, lakini sasa mpango huo umesitishwa.

Shungu ambaye amewahi kuifundisha Yanga amesema sababu ya kusitisha ziara hiyo ni kufuatia kutoka ratiba ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika.

Shungu amesema ratiba ya CAF imeonyesha wanatakiwa kuanza kucheza mchezo wa kwanza ugenini wakiwafuata UMS de Loum ya Cameroon.

Kocha huyo amesema ratiba ya kutakiwa kucheza mechi hiyo Agosti 9 ndiyo imefuta zaidi kutokana kukaribiana zaidi na ratiba ya Yanga waliopanga wacheze nao Agosti 4.

Amesema tofauti ya siku tano baina ya mechi hizo mbili huku wakitakiwa kuanzia ugenini kwa kwenda Cameroon ndiyo msingi wa kufutwa kwa ratiba hiyo

Aidha Shungu amesema kufuatia ratiba yao hiyo pia imewalazimu kubadili ratiba ya maandalizi yao kwa kusitishwa kwa sehemu ya maandalizi yao.

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
13h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
17h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
18h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
18h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’