Kamusoko aungana na Lwandamina ZESCO United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2019
Kamusoko aungana na Lwandamina ZESCO United

Kiungo fundi Thabani Kamusoko muasisi wa 'kampa-kampatena' amejiunga na ZESCO United kwa mkataba wa miaka mitatu

Kamusoko ametua timu hiyo akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika

Inaelezwa usajili wake ni pendekezo la kocha George Lwandamina aliyefanya nae kazi katika klabu ya Yanga

Kamusoko ataendelea kukumbukwa na mashabiki wa Yanga kutokana na mchango aliotoa miaka minne aliyokuwa Jangwani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’