Sibomana aliondoka na mpira mechi dhidi ya ATN Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2019
Sibomana aliondoka na mpira mechi dhidi ya ATN Fc

Kama ilivyokuwa kwa Mrisho Ngasa kwenye mchezo dhidi ya Tanzanite Fc, winga Patrick Sibomana leo ameondoka na mpira baada ya kufunga mabao matatu 'hat-trik' kwenye mchezo dhidi ya ATN Fc

Katika mchezo huo uliopigwa mapema leo, Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 7-0

Sibomana amekuwa katika kiwango bora ndani ya kikosi cha Yanga

Ni mmoja wa wachezaji ambao wanatabiriwa wataifanyia Yanga mambo makubwa msimu unaoanza mwezi ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’