Yanga kujipima na Mawenzi Market

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2019
Yanga kujipima na Mawenzi Market

Yanga inaendelea na maandalizi yake mkoani Morogoro ambapo keshokutwa Jumapili Julai 28 2019 itashuka kwenye uwanja wa Jamhuri kucheza na Mawenzi Market inayoshiriki ligi daraja la pili

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema wanatarajia kucheza michezo miwili ya kirafiki kabla ya kurejea jijini Dar es salaam tayari kwa Tamasha la wiki ya Mwananchi August 04

Mechi nyingine huenda pia ikacheza na Aigle Noir, mabingwa wa ligi kuu ya Burundi

Noir iko nchini tangu wiki iliyopita ikiwa tayari imecheza mechi tatu za kirafiki dhidi ya Namungo, Kagera Sugar na Mtibwa Sugar

Mpaka sasa Yanga imecheza michezo mitatu ya kirafiki mkoani Morogoro na kufanikiwa kuibuka na ushindi katika michezo yote

Mchezo dhidi ya Mawenzi Market utakuwa wa nne

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’