Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo ameingia rasmi kambini mkoani Morogoro kuendelea na majukumu ya kukinoa kikosi cha Yanga
Zahera aliwasili nchini mapema jana baada ya kumaliza mapumziko ya siku 15
Kambini mkoani Morogoro Zahera alipokelewa kwa shangwe na viongozi pamoja na wachezaji wa timu hiyo
Sasa kazi imeanza...!





ADVERTISE HERE