Yanga yaendelea kuiwinda Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Sep 2017
Yanga yaendelea kuiwinda Mtibwa Sugar
Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi kwenye uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam kikijiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa tano dhidi ya vinara wa ligi hiyo, Mtibwa Sugar.

Yanga haihitaji matokeo mengine zaidi ya ushindi kwenye mchezo huo ili kutuliza 'mzuka' wa mashabiki wake ambao bado wana kiu ya kuiona timu yao ikicheza kandanda safi.



Tayari Yanga imeshuka dimbani mara nne, imeshinda mbili na kutoka sare mbili. Kwenye msimamo wa ligi inashika nafasi ya sita ikiwa na alama nane. Mtibwa Sugar na Azam zina alama 10, Mtibwa inaongoza kutokana na kupachika mabao mengi.

Yanga imepata ahueni baada ya wachezaji wake wote waliokuwa majeruhi kurejea dimbani.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
54m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’