Tiketi za Royal kupatikana Serena Hotel

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Aug 2019
Tiketi za Royal kupatikana Serena Hotel

Tiketi za VIP (Royal) ambazo zinauzwa kwa Tsh 100,000/- , leo zitapatikana kwenye Mkutano wa Yanga na Waandishi wa habari utakaofanyika Serena Hotel

Mkutano huo ni maalum kwa ajili ya utambulisho wa jezi za Yanga kwa ajili ya msimu wa 2019/20

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, imesema baada ya tukio hilo, tiketi hizo zitapatikana Makao Makuu ya klabu ya Yanga katika ofisi ya Mhasibu

Manufaa utakayopata uliwa na tiketi ya Royal

i. Utakaa Jukwaa la VIP Uwanja wa Taifa siku ya Kilele Cha Mwananchi

ii. Utachukuliwa kwa Usafiri Maalum pale Serena Hotel kuelekea Uwanja wa Taifa. Gari hilo maalum litaondoka Serena Hotel saa 5 asubuhi

iii. Utapata jezi original ya msimu huu

iv. Utapata huduma ya chakula cha buffet pale Uwanja wa Taifa eneo la VIP

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’