Uongozi wa klabu ya Yanga ukiongozwa na Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla leo ulikutana na Wazee wa klabu hiyo katika kikao kilichofanyika Makao Makuu, Jangwani
Kikao hicho kilikuwa mahsusi kujadili mambo mbalimbali na ya maendeleo yanayoihusu Yanga
Mapema leo Dk Msolla alisimamia zoezi la uzinduzi wa jezi mpya za Yanga
Mauzo ya jezi hizo mpaka sasa yameweka rekodi baada mzigo wa awamu ya kwanza kumalizika katika kipindi cha muda mfupi tu tangu zilipozinduliwa
ADVERTISE HERE