Kariobangi Sharks kutua leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2019
Kariobangi Sharks kutua leo

Wapinzani wa Yanga katika mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi, Kariobangi Sharks wanatarajiwa kuwasili leo

Taarifa iliyotolewa na timu hiyo mchana wa leo, msafara wake umeondoka jijini Nairobi na utawasili nchini Tanzania wakati wowote

K Sharks itacheza na Yanga kesho August 04 katika mchezo maalum kutambulisha kikosi cha Yanga ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Mabingwa hao wa taji la Sportpesa wataendelea kuwepo jijini Dar es salaam hadi August 06 ambapo watacheza na KMC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’