Tiketi zinapatikana uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Aug 2019
Tiketi zinapatikana uwanja wa Taifa

Uongozi wa klabu ya Yanga umewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo ambao mpaka sasa hawajapata tiketi kuwa wafike uwanjani mapema kwani kuna vituo zaidi ya 100 vya kukata tiketi

"Tayari tumeshika kalamu zenye wino wa dhahabu, tayari kuandika historia ya ukuu na kuitia mhuri wa moto idumu milele"

"Barabara za kuelekea Uwanja wa Taifa, zimepambwa na kijani na njano, kelele zinazosikika ni nyimbo za wananchi, sauti za shangwe na fujo zisizoumiza"

"Wewe ambaye hujapata tiketi kwa sababu yoyote ile, tukutoe hofu. Nje ya Uwanja kuna mawakala zaidi ya 100 walio tayari kukuhudumia"

"Njoo na familia yako, njoo tuandike histori pamoja"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’