Hii Yanga sio ile - nahodha Sharks

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Aug 2019
Hii Yanga sio ile - nahodha Sharks

Nahodha wa kikosi cha Kariobangi Sharks amesema Erick Juma amesema mchezo wa jana dhidi ya Yanga ulikuwa mzuri na wamejifunza vitu vingi

Aidha Juma amesema wameona Yanga imekuwa tofauti na walivyocheza nayo mapema mwaka huu

"Nimeona wachezaji wengi wapya. Wengi wanaonekana sio Watanzania, wamecheza vizuri"

Sharks ilicheza na Yanga kwa mara ya kwanza kwenye michuano ya Sportpesa Cup mwezi Januari mwaka huu na wakafanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2

Hata hivyo ni mchezaji mmoja tu, nahodha Papi Tshishimbi ambaye alikuwemo kwenye kikosi hicho kilichofungwa

Kwenye mchezo wa jana Yanga ilicheza vizuri zaidi na pengine wangeweza kuibuka na ushindi kama wangetumia vyema nafasi nyingi walizotengeneza hasa kwenye kipindi cha kwanza

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’