Kiungo wa Yanga Deus Kaseke ameachana na mpango wa kuhamia Singida United baada ya kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili kubaki na klabu hiyo ya mtaa wa Jangwani.
Kaseke ni miongoni mwa wachezaji waliomaliza mikataba yao Yanga na uongozi wa klabu hiyo umefikia nae makubaliano ya kusaini mkataba mpya wakati wowote.
Singida United inayonolewa na Hans van Pluijm kocha wa zamani wa Yanga ilikuwa ikimuwania mchezaji huyo aliyesajiliwa na Yanga kutoka Mbeya City misimu miwili iliyopita.

ADVERTISE HERE