Rollers kuwasili leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Aug 2019
Rollers kuwasili leo

Wapinzani wa Yanga mchezo wa ligi ya mabingwa hatua awali, Township Rollers wanatarajiwa kuwasili leo

Rollers wataumana na Yanga keshokutwa Jumamosi, August 10 katika mchezo utakaopigwa dimba la Taifa saa 12 jioni

Wakati wao wakija nchini, Yanga bado iko Zanzibar ikikamilisha maandalizi ya mwisho

Baada ya jana kuichapa Mlandege Fc mabao 4-1, leo itacheza mchezo meingine wa kirafiki dhidi ya Malindi Fc ambayo inaiwakilisha Zanzibar kwenye michuano ya kombe la Shirikisho

Hii ni mara ya pili Rollers inakuja nchini kucheza na Yanga kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Mwaka jana March 06 ilicheza na Yanga katika mchezo wa raundi ya kwanza na ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1

Hata hivyo mwaka huu watakutana na Yanga nyingine kabisa iliyosukwa upya na kocha Mwinyi Zahera

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
10h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
14h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
15h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
15h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’