Chirwa kupandishwa kizimbani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Sep 2017
Chirwa kupandishwa kizimbani
Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa huenda akapandishwa kizimbani baada ya kumpiga mwandishi wa habari John Dande leo jioni kwenye uwanja wa Uhuru.

Juma Abdul ndiye aliyemnusuru mwandishi huyo asiumizwe na Chirwa aliyekasirishwa na kitendo cha kupigwa picha na mwandishi huyo bila ya ridhaa yake wiki iliyopita.

Tukio hilo lisilo la kiungwana limeripotiwa katika kituo cha Polisi, Chan'gombe jijini Dar es salaam.

Matukio ya aina hii hayapaswi kuungwa mkono na mdau yeyote wa soka.

Ukiwa mtu maarufu ni lazima ukubali 'kubugudhiwa' na waandishi wa habari. Huna namna ya kukwepa hilo

Chirwa ni mchezaji wetu, tunampenda lakini hatuwezi kukubaliana na matukio ya kupiga waandishi wa habari yanaharibu taswira ya Yanga.

Naamini uongozi wa Yanga utamchukulia hatua za kinidhamu na kuhakikisha matukio ya aina hii hayatokei tena.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’