Waamuzi kutoka Burundi kuchezesha Yanga vs Rollers

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2019
Waamuzi kutoka Burundi kuchezesha Yanga vs Rollers

Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeteuwa waamuzi kutoka Burundi kuchezesha mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya awali kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers

Georges GatoGato ndiye altakayeshika filimbi kwenye mchezo huo utakaopigwa kesho August 10 saa 12 jioni

Atasaidiwa na washika vibendera Gustave Baguma na Emery Nyongabo

Kamisaa wa mchezo ni Mzee Zam Ally kutoka visiwani Zanzibar wakati mwamuzi wa akiba ni Thiery Nkurunziza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’