Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo bado hajaisahau klabu hiyo licha ya kujiunga na Horoya Ac, mabingwa wa Guinea
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Makambo ameitakia kila la kheri Yanga kwenye mchezo wake wa kwanza ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers
"Ninawatakia mechi njema yanga Africa timu ya wananchi," ameandika Makambo
Yanga ilimuuza Makambo Guinea baada ya kuitumikia timu hiyo kwa mafanikio msimu mmoja
ADVERTISE HERE