Siku ya Ijumaa, August 16 2019 kikosi cha Yanga kitashuka uwanja wa Ushirika Moshi kuumana na Polisi Tanzania katika mchezo wa kirafiki
Polisi Tanzania itashiriki ligi kuu msimu huu baada ya kupanda daraja msimu uliopita
Kama ilivyo kawaida yao, Azam Tv wataurusha mchezo huo mbashara kupitia Azam Sport 2, kuanzia saa kumi kamili jioni
ADVERTISE HERE