Baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro mapema leo, jioni kikosi cha Yanga kilifanya mazoezi maalum ya kuondoa uchovu
Yanga ilijifua katika uwanja wa Chuo cha Utalii, Mwika
Kesho vijana wa Zahera wataanza rasmi maandalizi ya mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa siku ya Ijumaa
ADVERTISE HERE