Pato uso kwa uso dhidi ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2019
Pato uso kwa uso dhidi ya Yanga

Kiungo wa Polisi Tanzania Pato Ngonyani kesho kwa mara ya kwanza atakumbana na waajiri wake wa zamani, klabu ya Yanga kwenye mchezo wa kirafiki

Polisi Tanzania na Yanga zitapimana ubavu kwenye mchezo wa kirafiki utakaopigwa uwanja wa Chuo cha Ushirika

Pato aliyeitumikia Yanga kwa misimu minne, aliondoka katika dirisha la usajili liliofungwa hivi karibuni baada ya mkataba wake kumalizika

Kiraka huyo hakuwa kwenye mipango ya kocha Mwinyi Zahera

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’