Baadhi ya wachezaji wakiogelea kuweka miili yao sawa baada ya mazoezi.'
Hii ni sehemu ya mazoezi maalumu ya Yanga kuelekea mchezo wa marejeano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers
Mchezo huo utapigwa Botswana August 24 2019


ADVERTISE HERE