Kikosi cha Yanga kimewasili salama Afrika Kusini kikiwa njiani kuelekea Botswana kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers
Huenda Yanga ikajifua hapo bondeni kwa siku chache kabla ya kuelekea Botswana ambapo mchezo dhidi ya Rollers utapigwa Jumamosi, August 24 2019
Yanga imefikia jijini Johannesburg ambapo kutoka hapo mpaka kufika Gaborone Botswana ni umbali wa kilomita 275 tu
ADVERTISE HERE