Azam TV kurusha 'mbashara' mechi ya Township Rollers vs Yanga Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2019
Azam TV kurusha 'mbashara' mechi ya Township Rollers vs Yanga Jumamosi

Azam Tv imethibitisha kupata haki za kurusha mbashara mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Township Rollers dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi August 24 2019 huko Botswana

Mchezo huo utapigwa saa tisa Alasiri kwa saa za Botswana ambapo kwa hapa Tanzania itakuwa saa 10 jioni

Kikosi cha Yanga tayari kiko Afrika Kusini ambapo kitafanya maandalizi ya siku chache kabla ya kuelekea Botswana

Mchezo wa Jumamosi ni wa kufa au kupona kwa Yanga, kwani mabingwa hao wa kihistoria wanahitaji kushinda ili kusonga mbele raundi ya kwanza

Yanga bado ina nafasi ya kusonga mbele ugenini licha ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa wiki iliyopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’