Majeraha ya goti yamuondoa kikosini Ally Ally

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2019
Majeraha ya goti yamuondoa kikosini Ally Ally

Beki Ally Ally aliondolewa kwenye kikosi kilichosafiri jana kwenda Afrika Kusini kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya goti

Ally aliumia kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Yanga ambao ulipigwa uwanja wa Ushirika Moshi

Yanga ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 2-0

Ally aliyetua Yanga usajili wa msimu huu akitokea KMC, amesema alitamani kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Township Rollers Jumamosi

Hata hivyo ana imani kuwa wachezaji waliosafiri watafanikiwa kuibeba Yanga ugenini

Ally Ally alicheza mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa ambao ulimalizika kwa sare ya bao 1-1

Kwenye mchezo huo aliingia dakika ya 33 kuchukua nafasi ya Paulo Godfrey 'Boxer' ambaye aliumia

Hata hivyo Boxer amepona majeraha na amesafiri kuwakabili Rollers

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’