Naibu Waziri wa Elimu wa Zanzibar Simai Mohammed Said ambaye yuko katika ziara ya kikazi nchini Botswana, jana alitembelea mazoezi ya kikosi cha Yanga kinachojiandaa na mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers
Simai ameitakia kheri na mafanikio klabu ya Yanga ili iweze kupata ushindi kwenye mchezo huo utakaopigwa keshokutwa August 24 kwenye uwanja wa Taifa wa Botswana

ADVERTISE HERE