TAARIFA
Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji, ameteua wajumbe tisa (9) kuunda Kamati ya Sheria na Nidhamu
Katika wajumbe hao, Mwanasheria Sam Mapande ameteuliwa kuwa Mwenyekiti
Wajumbe wengine
1. Esther Cheyo
2. Shafiru Makosa
3. Shabani Mgonja
4. Benjamini Mwakasonda
5. Philipo Bura
6. Selemani Jongo
7. Marry Mavula
8. Cosmas Chidumule
ADVERTISE HERE