Yanga kukamilisha maandalizi uwanja wa Taifa Botswana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2019
Yanga kukamilisha maandalizi uwanja wa Taifa Botswana

Kikosi cha Yanga kimeendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers

Yanga imeendelea kujifua katika viunga vya Botswana chini ya kocha Mwinyi Zahera

Siku ya kesho Ijumaa, mabingwa hao wa kihistoria, kwa mara ya kwanza watafanya mazoezi kwenye uwanja wa Taifa wa Botswana, uwanja ambao utatumika kwenye mchezo wa keshokutwa

Matumaini ni makubwa, wachezaji wanaonyesha kuwa na ari, wakiahidi kupambana kuhakikisha wanaibuka na ushindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
23h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’