Baada ya kumaliza vyema majukumu ya kulitetea Taifa kwa kuifumua Township Rollers bao 1-0 hapo jana na kutinga raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa, kikosi cha Yanga kimeondoka Botswana kuelekea Afrika Kusini
Yanga itaunganisha kurejea nchini leo (saa saba usiku wa kuamkia kesho Jumatatu)
Mashabiki wametakiwa kujitokeza kwa wingi uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kuwapokea mashujaa hao
ADVERTISE HERE