Yanga safarini Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2019
Yanga safarini Mwanza

Kikosi cha Yanga kinaondoka jijini Dar es salaam mchana wa leo Jumatano, Septemba 04 kuelekea mkoani Mwanza ambako kitaweka kambi kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United

Yanga itacheza na ZESCO Septemba 14, katika mchezo wa kwanza utakaopigwa uwanja wa Taifa

Mabingwa hao wa kihistoria wanaelekea jijini Mwanza kwa usafiri wa Ndege

Wakiwa Mwanza, watacheza mechi mbili za kirafiki, mchezo wa kwanza utakuwa Jumamosi dhidi ya Gwambina Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
23h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’