Logo nyekundu ya Vodacom haitatumika Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2019
Logo nyekundu ya Vodacom haitatumika Yanga

Klabu ya Yanga haitatumia logo nyekundu ya Vodacom, itaendelea kutumia logo nyeusi waliyoitumia miaka ya nyuma

Jana Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela aliweka msisitizo kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuwa Yanga haiko tayari kutumia rangi nyeupe/nyekundu kwenye jezi zake

Uamuzi huo ni kwa mujibu wa Katiba ya Yanga, rangi rasmi za klabu hiyo ni kijani, njano na nyeusi

Akihojiwa na Clouds FM jana, Meneja Masoko wa TFF Aaron Nyanda alisema kampuni ya Vodacom inafahamu suala hilo hivyo Yanga itaruhusiwa kutumia logo waliyotumia miaka ya nyuma

"Vodacom walishawahi dhamini ligi yetu na wanafahamu Yanga hutumia logo nyeusi hivyo sio kweli kuwa TFF imewataka watumie logo nyekundu, " alisema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’