Yanga yaunda Kamati ya Uhamasishaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Sep 2019
Yanga yaunda Kamati ya Uhamasishaji

Uongozi wa klabu ya Yanga umeunda Kamati ya Uhamasishaji kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United ambao utapigwa Jumamosi ijayo Septemba 14 kwenye uwanja wa Taifa

Kamati hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti Suma Mwaikenda, wajumbe wake ni Said Mrisho, Clifford Lugora, Abdulmalik Hassan, Dominick Salamba, Hassan Bumbuli, Khamis Dacota, Leavan Maro, Dr David Luhago na Jimmy Msindo

Wengine ni Jimmy Mafufu, Jacqueline Wolper, Irene Uwoya, Injinia Deo Mutta, Junior Ahmed, King Mwalubadu, Madaraka Malumbo, Hajji Mboto na Miriam Odemba

Pia wamo Flora Mvungi, Senga, Halima Yahaya ‘Davina’ na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde, ambaye atakuwa mshauri wa kamati hiyo

Aidha katika kuonyesha kumuunga mkono kocha Mwinyi Zahera, Septemba 14 viongozi na mashabiki wa Yanga wameaswa 'kutimba' uwanja wa Taifa wakiwa wamevalia 'pensi' kuonyesha kutokubaliana na uamuzi wa TFF kumuadhibu Zahera kwa kuvalia mavazi hayo kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’