Jimmy Kindoki kuanza hamasa mechi ya ZESCO United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2019
Jimmy Kindoki kuanza hamasa mechi ya ZESCO United

Mjumbe wa Kamati ya Hamasa Jimmy Mshindo (aka Jimmy Kindoki) amesema baada ya uongozi wa Yanga kumpa nafasi hiyo, kazi yake anaianza rasmi kuelekea mchezo dhidi ya ZESCO United

Kindoki ni miongoni mwa wajumbe walioteuliwa hivi karibuni na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga kuunda Kamati ya Hamasa

"Naushukuru uongozi huu mpya wa Yanga unaongozwa na Dr Msolla pamoja na Makamu wake Mwakalebela, wajumbe wote, matawi na wanachama kwa kunipa nafasi hii"

"Mungu aniongoze ili nioneshe kipaji changu. Hakika sasa Yanga imezaliwa upyaaaaaaaaa"

Kabla ya uteuzi huo Kindoki alifahamika zaidi kwa kujitoa kwake katika masuala mbalimbali yanayoihusu klabu ya Yanga

Wanayanga wengi walimpigia 'chapuo' kupewa kitengo cha uhamasishaji katika klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’