Yanga imejisahihisha kwa Mahadhi

Selemani Sudi By Selemani Sudi
β€’
11 Sep 2019
Yanga imejisahihisha kwa Mahadhi

Misimu miwili iliyopita aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma alisaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria

Hata hivyo Ngoma alikumbwa na majeruhi ambayo yalimuweka nje kwa muda mrefu

Hali hiyo ilipelekea mvutano baina yake na Yanga kupelekea mkataba wake kuvunjwa

Ngoma akajiunga na Azam Fc ambayo ilichukua jukumu la kumtibu, akapona na sasa amekuwa msaada mkubwa kwa timu hiyo

Tukio hilo limekuwa somo kwa uongozi mpya wa Yanga chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla kwa winga Juma Mahadhi

Mahadhi alipata majeraha ya goti msimu uliopita, alikaa nje msimu mzima

Uongozi wa Yanga umetimiza wajibu wake kumtibu winga huyo huku pia ukimuongeza mkataba baada ya ule wa awali kumalizika

Ni hivi karibuni tu Mahadhi amerejea kutoka nchini India alikokuwa amekwenda kutibiwa na huenda winga huyo akaanza kuonekana dimbani karibuni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’