Mzigo wa kutosha wa jezi umewasili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Sep 2019
Mzigo wa kutosha wa jezi umewasili

Kampuni ya GSM imeshusha shehena ya jezi za klabu ya Yanga kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa

Jezi hizo zinapatikana kwenye maduka yote ya GSM kuanzia mchana huu wa siku ya Alhamisi, Septemba 12 2019

Wanayanga wameaswa kuchangamkia jezi hizo ili kuhakikisha keshokutwa uwanja wa Taifa unapambwa kwa rangi za njano na kijani

Kwenye mchezo huo Yanga itatumia uzi wake wa rangi ya kijani

Katika hatua nyingine, Kampuni ya Selcom imepewa jukumu la kuuza tiketi za mchezo huo ambapo kwa wale wenye kadi wanaweza kununua sasa

Aidha uongozi wa Yanga unatarajiwa kutangaza vituo zaidi vya mauzo ya tiketi

Kiingilio cha chini kabisa ni Tsh 3,000/-, Mzunguuko

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’