Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kampuni ya Azam Media leo wamesaini mikataba miwili ya muda wa miaka minne yenye thamani ya takribani Shilingi 6.3 bilioni
Mikataba hiyo mmoja ni kwa ajili ya udhamini wa mashindano ya Azam Sports Federation Cup ambao una thamani ya Bilioni 4.5
Mkataba mwingine ni kwa ajili ya haki ya kurusha mbashara mechi za timu ya Taifa kwa kipindi cha miaka minne
ADVERTISE HERE