Yanga yakamilisha maandalizi uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Sep 2019
Yanga yakamilisha maandalizi uwanja wa Taifa

Kesho ndio ile siku inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa klabu ya Yanga ambapo timu yao itashuka dimba la Taifa kuikabili ZESCO United ukiwa ni mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya kwanza

Yanga ilifanya mazoezi yake ya mwisho jana kwenye uwanja wa Taifa

Kocha Mwinyi Zahera alisema wamefanya kila linalotakikana kupata ushindi dhidi ya ZESCO, imebaki zamu ya mashabiki kuonyesha sapoti yao kwa kujitokeza kwa wingi uwanjani

Leo ZESCO United itaruhusiwa kufanya mazoezi kwenye dimba la Taifa, kulingana na sheria za FIFA

Yanga inahitaji kushinda kesho ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa kwaΒ  mara ya pili katika historia yake

Mwaka 1998 Yanga ilikuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kutinga hatua ya makundi, wakati huo timu 8 tu zilikuwa zikiingia lakini sasa ni 16

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’