Safu ya ushambuliaji bado ni mtihani kwa Zahera

Selemani Sudi By Selemani Sudi
β€’
14 Sep 2019
Safu ya ushambuliaji bado ni mtihani kwa Zahera

Yanga imeendelea kufunga mabao yake kupitia mipira ya adhabu, kwa mara nyingine leo imefunga bao lake kupitia mkwaju wa penati

Pengine leo Mcongoman David Molinga angeweza kuonyesha utofauti lakini hawezi kutumika raundi hii

Zahera alitumia mshambuliaji mmoja Sadney, ambaye kuna wakati alielemewa kwa kuwa muda mwingi alicheza mbele peke yake

Yanga inapaswa kufanyia kazi changamoto hiyo kabla ya mchezo wa marudiano ambao utapigwa baada ya wiki mbili nchini Zambia

Timu inatengeneza nafasi lakini tatizo bado liko kwenye umaliziaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’