Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vyema michuano ya Cosafa ikiwa timu alikwa kwa kushinda mabao 2-0 dhidi ya Malawi.
Mabao ya Stars yote mawili yamefungwa na Shiza Kichuya huku bao la kwanza likitengenezwa na Simon Msuva aliyen'gara katika mchezo huo.
Stars inahitaji kumaliza nafasi ya kwanza kundi A ili iweze kutinga robo fainali ya michuano hiyo inayofanyika nchini Afrika Kusini.
Aidha kama itapenya hatua ya robo fainali itajumuishwa na Zambia, Botswana, Afrika Kusini, Namibia, Lesotho na Swaziland ambazo zinaanzia hatua ya robo fainali.
Timu hizo ndizo zinazounda shirikisho la Cosafa

ADVERTISE HERE