Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake kuchangamkia fursa ya kusafiri na timu nchini Zambia kuiunga mkono kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco United
Mchezo huo utapigwa Septemba 28
Msafara wa mashabiki utaondoka Septemba 25 na kurejea Tanzania Septemba 30

"Unangoja nini? Wananchi tayari wanachangamkia tiketi zao kuelekea Ndola kujenga historia mpya. Soma maelezo hapo juu kisha wasaliana na wahusika... Safari kuanza tarehe 25/09/2019 kurudi tarehe 30/09/2019."
ADVERTISE HERE