Ligi Kuu ya Vodacom inaendelea leo kwa mechi tano kupigwa katika viwanja mbalimbali
Namungo Fc na Kagera Sugar zina nafasi ya kuongoza ligi kama zitashinda michezo yao leo
Namungo Fc itashuka dimba la Majaliwa kucheza na Mwadui Fc wakati Kagera Sugar iko Mwanza dhidi ya Mbao Fc
Yanga, Azam Fc na Simba hazichezi wikiendi hii kutokana na kuwa na wachezaji wengi kwenye kikosi cha timu ya Taifa ambacho kesho Jumapili kitaumana na Sudan kwenye mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani

ADVERTISE HERE