Mabosi wapya Yanga watambulishwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Sep 2019
Mabosi wapya Yanga watambulishwa

Uongozi wa Yanga umewatambulisha rasmi Afisa Habari Mkuu, Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji Mkuu, Antonio Nugaz.

Aliyewatambulisha wawili hao ni kaimu katibu mkuu Dismas Ten aliyekuwa Afisa Habari Mkuu.

Ten amesema viongozi hao sasa wanakuwa familia ya Wanayanga wakisaidiana na uongozi wa klabu hiyo kuendeleza kwa kasi malengo ya klabu hiyo.

Hata hivyo katika mkutano huo utata wa utofauti wa majukumu yao uliibuka kwa wanahabari kuhoji jinsi watakavyokuwa wakifanya majukumu yao.

Ten alifafanua kuwa ingawa ni nafasi mbili tofauti, lakini majukumu yao watakuwa yakifanyika kwa ushirikiano.

Ten alisema Bumbuli ndiyo atakuwa bosi mkuu wa mambo ya habari naawasiliano, pia kwa atakayewasiliana na Nugaz kama atakuwa na taarifa katika suala la atakaloulizwa anaweza kulitolea ufafanuzi.

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’