Mechi sita VPL kupigwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2019
Mechi sita VPL kupigwa leo

Wakati mabingwa wa kihistoria Yanga wakiwa nchini Zambia tayari kuiwakilisha nchi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, huku nyumbani ligi kuu ya Vodacom inaendelea leo ikiingia mzunguuko wa nne

Singida United iliyoanza kwa kuchechemea msimu huu, leo itakuwa na nafasi ya kujisahihisha dhidi ya Mbao Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Namfua

Mwadui Fc, Alliance Fc, Ruvu Shooting, Coastal Union ni miongoni mwa timu zinazoshuka dimbani leo

Hii hapa ratiba ya mechi zote za leo;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’