Yanga yatinga kibabe Ndola

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Sep 2019
Yanga yatinga kibabe Ndola

Kikosi cha Yanga tayari kimetua Ndola jana kikianza kujifua kuelekea mchezo dhidi ya Zesco ambao utapigwa kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa jijini humo

Yanga inafanya mazoezi karibu kabisa na uwanja huo

Mabingwa hao wa kihistoria kesho watakuwa na nafasi ya kufanya mazoezi katika dimba la Mwanawasa tayari kwa mchezo utakaopigwa Jumamosi

Yanga ilifikia jijini Lusaka ambako iliweka kambi ya muda mfupi kabla ya kuelekea Ndola umbali wa kilomita 316

Makamu Mwenyekiti wa timu hiyo Fredrick Mwakalebela ambaye ndiye kiongozi wa msafara, amesema kikosi kiko katika hali nzuri na hakuna shaka Jumamosi watafanya kile klichowapeleka Zambia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’