Kiungo Mapinduzi Balama aliyekuwa majeruhi anaendelea vyema na ameanza mazoezi mepesi
Balama leo alitembelea Makao Makuu ya Yanga kukutana na Afisa Habari wa timu hiyo Hassan Bumbuli, amesema atakuwa tayari kurejea kikosini wiki ijayo
"Nimeanza mazoezi, nina imani nitajiunga na kikosi kwa ajili ya mchezo unaofuata wa Ligi Kuu Tanzania Bara wiki ijayo," amesema
Balama hakusafiri na timu nchini Zambia kutokana na majeraha aliyopata kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Zesco
ADVERTISE HERE