Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Pius Buswita, mmoja wa viungo mahiri wa klabu ya Yanga.
Baada ya kutolewa kifungoni na TFF, Buswita tayari amedhihirisha ubora wake katika mchezo wake wa kwanza msimu huu.
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii maalum.
HAPPY BIRTHDAY PIUS BUSWITA.

ADVERTISE HERE