Mchezo ulimalizika kwa Zesco kushinda mabao 2-1. Hata hivyo Wazambia hao wamekiri Yanga ni timu nzuri, upinzani walioupata kutoka kwa mabingwa hao wa kihistoria Tanzania, hawakuutarajia
Bao la kujifunga Abdulaziz Makame ndilo lililowapa ahueni kufuzu hatua ya makundi lakini kama sivyo pengine mshindi angeamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati
Matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo huo uliopigwa uwanja wa Levy Mwanawasa jana;












ADVERTISE HERE