Bao la Makambo lashindwa kuivusha Horoya Ac makundi ligi ya mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Sep 2019
Bao la Makambo lashindwa kuivusha Horoya Ac makundi ligi ya mabingwa

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Heritier Makambo jana alimaliza ukame wa mabao kwenye klabu yake mpya ya Horoya Ac akifunga bao muhimu kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Kabylie na Horoya kushinda mabao 2-0

Hata hivyo katika mchezo wa kwanza ambao Horoya walikuwa ugenini, walifungwa kwa idadi hiyo ya mabao hivyo mshindi kuamuliwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati ambapo Horoya walifungwa penati 5-3

Horoya itashiriki raundi ya mtoano michuano ya kombe la Shirikisho kama ilivyo kwa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’