Mahadhi aanza mazoezi ya Gym

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Sep 2019
Mahadhi aanza mazoezi ya Gym

Baada ya kuwa nje kwa zaidi ya miezi 12 akiuguza majeraha ya goti, winga wa Yanga Juma Mahadhi ameanza program ya mazoezi ya Gym

Kuanza kwake program hiyo ni mwanzo wa mchakato wa kurejea dimbani

Mahadhi huenda akaanza kuonekana dimbani mwezi ujao, baada ya safari ngumu ya kuuguza majeraha kwa mwaka mzima

Pengine atahitaji muda zaidi kuweza kuwa 'fit' lakini hakuna shaka atakokuwa tayari, ataongeza kitu kwenye safu ya ushambuliaji ya Yanga

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’