Keshokutwa Jumapili Yanga inarejea uwanja wa Uhuru kuikaribisha Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Huu ni mchezo muhimu kwa Yanga inayosaka ushindi wake wa kwanza msimu huu
Viingilio vya mchezo huo ni Tsh 15,000/- VIP na Mzunguuko Tsh 5,000/-
ADVERTISE HERE