Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga Sunday Manara 'Computer' ambaye sasa ni Mjumbe wa Kamati ya ufundi, amelazwa Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es salaam baada ya kufanyiwa operesheni ya jicho
Manara ni Baba mzazi wa msemaji wa Simba, Haji, alitamba kwenye kikosi cha Yanga miaka ya sabini na mwanzoni mwa miaka ya 80
Hali yake inaendelea vizuri baada ya kufanyiwa operesheni hiyo
Ugua pole Mzee Manara..
ADVERTISE HERE