Mchakato wa kusaka kocha msaidizi mzawa warudi upya, Zahera akubali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Oct 2019
Mchakato wa kusaka kocha msaidizi mzawa warudi upya, Zahera akubali

Kabla ya kuanza msimu, uongozi wa Yanga ulianzisha mchakato wa kusaka kocha msaidizi mzawa ambaye angesaidiana na kocha Mkuu Mwinyi Zahera

Hata hivyo Zahera alipinga mchakato huo akieleza kuwa na imani na Noel Mwandila ambaye amekuwa akifanya nae kazi tangu alipotua Yanga mwaka jana

Lakini kutokana na mwenendo wa timu, Kamati ya ufundi ya Yanga imeshauri kupata kocha msaidizi mzawa

Jambo jema ni kuwa hata kocha Zahera mwenyewe inaelezwa amekubali kufanyika kwa mchakato huo

Mwandila ni kocha wa mazoezi ya viungo, hivyo hata kama Yanga italeta kocha Msaidizi mwingine, yeye ataendelea na majukumu yake

Baada ya matokeo ya juzi, viongozi wa Yanga walikutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi lengo likiwa kuweka mkakati wa kuhakikisha timu inarejea katika ushindani

Hapa swali ni nani atafaa kusaidiana na Zahera kuipa mafanikio Yanga?

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’